Tunakodisha Magari Dar es salaam
Tunakodisha Magari Kwa Ajili Ya Matumizi Mbalimbali Kama Vile Sherehe, Safari, Matumizi Binafsi/Ofisi Na Misiba. Tuna Magari ya Kukodisha Aina Mbalimbali Kuanzia Magari Madogo, Hiace, Coaster, Magari Ya Utalii, N.k
Kwa Nini Utuchague Sisi?
Madereva Bora
HUDUMA ZETU
Tunakodisha magari ya sherehe
Tunajivunia kukuletea magari ya kukodisha ya harusi yaliyo katika ubora wa hali ya juu na yakipekee. Unaweza kukodisha kuanzia magari ya harusi ya zamani mwaka 1930 hadi magari ya kifahari ya miaka ya sasa
tunakodisha magari ya utalii
Tunakodisha Magari ya utalii ya kisasa kwenda mbuga yoyote Tanzania kwa bei nafuu. Tuna madereva wazoefu na wakarimu wanaozungumza kiswahili na kingereza
TUNAKODISHA USAFIRI BINAFSI
Sisi ni suluhisho la magari ya kukodisha Dar es salaam na kusafiri Tanzania nzima kwa ujumla iwe kwa safari ndefu au fupi madereva wetu wapo tayari kukuhudumia
Tunakodisha Magari Kwa mashirika
Tunapangilia huduma za usafiri za wafanyakazi kuanzia kuwapeleka kwenye vikao maalum hata usafiri wa kila siku makazini. Kupitia magari yetu ya kukodisha, kama vile Alphard, Coaster, Landcruiser n.k. Tutafanikisha hilo kwa weledi mkubwa
Tunakodisha Magari Kwa Watu Muhimu
Kampuni Ya Kukodisha magari Bright ni chaguo sahihi katika kusafirisha wageni wako Muhimu iwe kwenda kwenye mikutano au matukio muhimu. Tutakupatia huduma bora yenye usiri mkubwa