Package Za Magari Ya Harusi Ya Kukodisha

Hizi Hapa package za magari ya harusi. Chagua package itakayo endana na mahitaji yako. Package hizi zinaweza kubadilishwa kuendana na mahitaji ya harusi au Send-Off ndani ya Dar es salaam 

Wateja Wetu Wanasema

"Huduma nzuri ya magari ya harusi ya kukodisha. Bright Cars walipitiliza mategemeo yangu. Tulikodisha gari la harusi aina ya hummer H2. Gari lilikua zuri safi.. pia tulipata huduma nzuri kutoka kwa dereva wao"
Glory Shao
Send-off Client
"Mimi na mume wangu Tulikodisha Range Rover autobiography na Benz S-class kwa ajili ya siku yetu ya harusi. Magari ya harusi yalikua poa tulipata huduma nzuri kutoka kwao. Nawapendekeza kwa mahitaji yote ya magari ya harusi Dar es salaam
Halima Hassan
Gari La Harusi
"Baada ya kutafuta magari ya harusi kwa muda mrefu hatimae tulikutana na bright cars wametupatia usafiri mzuri wa harusi yetu, tena kwa bei nzuri pia huduma yao ni nzuri wanajali wateja"
magari ya harusi ya kukodisha
Mohamed Hajib
Gari La Harusi
"their wedding cars in dar es salaam are superb second to none. Hired Benz s-class for our wedding the guys delivered exceptional service. their wedding cars are ontime and drivers are proffessional"
Hassan Mbalamwezi
Gari La Harusi
Reliable Unbeatable Car Rental Prices in Dar es Salaam