Chauff
Car Rental Price:
Maelezo Zaidi
Tunakodisha Coaster Ndani ya Dar es salaam. zinauwezo wa kubeba watu 26, ni za kisasa zina kiyoyozi friji, pamoja na TV pia siti zake zina nafasi ya kutosha kufanya msafiri kwa uhuru bila kubanana
Kwa Mahitaji coaster za kukodisha Tanzania wasiliana nasi tukupatie huduma iliyobora. Namba yetu za whatsapp na kawaida ni 0673970512
Coaster zetu za kukodisha Dar es salaam. Zina milango mikubwa na Nafasi kutosha kuwafanya wewe na wageni wako mfurahie safari
Kwa kukodisha coaster mna uhuru wa kuvinjari ndani ya dar es salaam na Tanzania kwa ujumla huku mki furahia teknolojia ya kisasa inayokuja na gari zetu
Within Dar es salaam Price is Fixed 130$ Daily
*Price is Fuel Inclusive (80Km Each Day)
KWA MAULIZO KUHUSU MAGARI YA KUKODISHA JAZA FOMU HAPO CHINI AU BOFYA KITUFE CHA WHATSAPP ILI KUWASILIANA NASI MOJA KWA MOJA