Airpor

Car Rental Price:
65 USD. To City Center

Book This Car Rental

Calendar is loading...

Maelezo Zaidi

Tunakodisha Coaster Ndani ya Dar es salaam. zinauwezo wa kubeba watu 26, ni za kisasa zina kiyoyozi friji, pamoja na TV pia siti zake zina nafasi ya kutosha kufanya msafiri kwa uhuru bila kubanana
Kwa Mahitaji coaster za kukodisha Tanzania wasiliana nasi tukupatie huduma iliyobora. Namba yetu za whatsapp na kawaida ni 0673970512

Coaster zetu za kukodisha Dar es salaam. Zina milango mikubwa na Nafasi kutosha kuwafanya wewe na wageni wako mfurahie safari

Kwa kukodisha coaster mna uhuru wa kuvinjari ndani ya dar es salaam na Tanzania kwa ujumla huku mki furahia teknolojia ya kisasa inayokuja na gari zetu

Within Dar es salaam Price is Fixed 95$ Daily
Intercity Drive Arround Tanzania 120$-150$
*Price is Fuel Exclusive

KWA MAULIZO KUHUSU MAGARI YA KUKODISHA JAZA FOMU HAPO CHINI AU BOFYA KITUFE CHA WHATSAPP ILI KUWASILIANA NASI MOJA KWA MOJA

Customers Testimonials

Mahmoud Hashim
Mahmoud Hashim
2021-05-29
Highly Proffessional Airport Transfer In Dar es salaam Tanzania We used Bright Cars airport transfer service to get us to and from J.k Nyerere Airport to our hotel- great service- right on time and very nice drivers in comfortable Landcruiser V8 VXR. Definitely recommend.
john mlay
john mlay
2021-05-29
Wana magari mazuri ya harusi Dar es salaam Tanzania. Tulikodisha Coaster 5 zilikua nzuri na huduma nzuri kutoka kwa madereva wao. Endeleeni na kazi nzuri Bright Car Rental Dar es salaam Tanzania
Irene James
Irene James
2021-05-25
I am a long-time customer of Bright Car Hire, Dar es salaam Tanzania, from the year 2019 and I am very satisfied with the offered services. Especially I appreciate their attitude , they are responsible, reliable and can solve anything for the satisfaction of the customer. Thank you.
john muli
john muli
2021-05-25
First thing's first, buying or renting a car in Tanzania is an expensive pursuit. But if you need a car, pickup, or van then I can heartily recommend Bright Car Rental. They gave me the going rate and as long as you're sensible and take time around tuktuks and locals you'll be fine.
Khasim Abdalah
Khasim Abdalah
2021-05-25
tulifika uwanja wa ndege wa juliasi nyere na kupokelewa vyema na gari letu tulilokua tumekudisha. Tulipata huduma nzuri kutoka kwa dereva wakati wote tulipokua na gari letu tulilokodisha
Aisha Jumah
Aisha Jumah
2021-05-25
Bright car rental wanahuduma nzuri ya kukodisha magari nimekua nikiwatumia kwa zaidi ya miaka mitatu sasa. Wanakodisha magari ya harusi na mengine mengi
givenlight Jesse
givenlight Jesse
2021-05-25
The best service I've ever had with car rental in dar es salaam. We rented a bus toyota coaster for our trip to Mikumi. The bus, was cleaner with very professional service. Keep it up guys
oliva Kamala
oliva Kamala
2021-05-25
Tulikodisha gari la harusi na sendoff kutoka kwa bright car rental hakika wana huduma nzuri
error: Content is protected !!