Hire Hu

Car Rental Price:
1,000,000 TSH. Full Wedding Day, Fuel & Driver Inclusive

Sherehe / Send-Off / Harusi
Bei halisi ya kukodisha gari hili hutegemea na route za harusi yako. Bei iliyoandikwa hapo juu, hubaki vilevile endapo safari iko ndani ya maeneo ya karibu. Endapo route itakua ya umbali mrefu, bei inaweza kuongezeka kidogo kulingana na umbali halisi. Hii hutuwezesha kukupatia gari bora na huduma safi isiyo na presha katika siku yako muhimu. 💍🚗
Chagua Sehemu Gari Litapita (Weka Tiki)
Chagua Eneo la Karibu Zaidi
Anza Kuandika Herufi 3, kisha chagua kwenye machaguzi.
Booking Details

Maelezo Zaidi

This has to be one of the largest and most luxurious H2 Hummers in Dar es Salaam. If you are looking for something big to transport up to 8 passengers then this Hummer SUV is definitely for you

With a full range of chauffeur driven SUV available, BrightCars can supply your wedding day with all the transport needs met, leaving you the assurance that you and your loved one will be with the guests throughout the day.
KWA MAULIZO KUHUSU MAGARI YA KUKODISHA JAZA FOMU HAPO CHINI AU BOFYA KITUFE CHA WHATSAPP ILI KUWASILIANA NASI MOJA KWA MOJA

Customers Testimonials

Hakimiliki © 2019 - 2026. All rights reserved

Developed by BrightDigital